Wednesday, August 19, 2015

Kazi za Skuvi 141

Tumepokea maombi ya wateja wengi wakihitaji kujua iwapo Skuvi 141 tunaweza kufanya shughuli nyingine tofauti na kutengeneza vitanda, hapa chini nimekuandikia baadhi shughuli ambazo zinafanyika ndani ya Mr.Oil Skuvi ltd
1. Kutengeneza Madawati
2.Viti
3. Meza
4.Viti vya kwenye bustani
5. Vitanda vya kawaida
6. Vitanda vya kubebana
7.Meza za vyakula
8. Stendi ya mishumaa
9.Stendi ya keki
10. stendi ya viatu
11. Stendi ya wine
12. kutengeneza mageti
13. Kunyoosha magari
14. kupulizia rangi magari
na vingine vinavyoendana na hivyo karibu sana huduma zetu ni za kuaminika na za uhakika, usifanye kazi na makanjanja karibu Mr. Oil Skuvi 141 Company ltd,Kawe karibu na Tanganyika peakers kituo cha msaada Msonge. au piga 0713218932.